TCU &Universities pitieni makara hii

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,169
Pitapita zangu zimenifikisha hapa. Someni kiambatanisho hicho na mujitafakari.
Wazazi pia wanaweza pata cha kusema juu ya elimu yetu na matumizi ya pesa tunazotumia kutafuta shule tunazoita nzuri.

Vyuo Vikuu vinaharibu elimu kwa tamaa ya kupanda ngazi haraka.
 

Attachments

  • Message.pdf
    300 KB · Views: 50
Elimu nchi nzima haina sera. Kindergarten hadi University. Forget these so called professors waliopewa zawadi kwa kubadili matokeo ya chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom