Natafuta mwalimu wakufundisha watoto wangu tuition-kigamboni

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Nina shida ya mwalimu mzuri wakuwafundisha watoto wangu tuition wa darasa la kwanza na la pili nitamlipa vbizuri tu ,niko maeneo ya kibada-kigamboni .kama nitapata wa maeneo haya haya nitafurahi sana awe anakuja anawafundisha anaondoka,nineshanunua vitabu vyote vya level zao.
Nitashukuru kama mtajitokeza
 
duh 'tuition' darasa la kwanza? all the best
 
Best unawachosha tu wanao na utawaletea jibaradhuli la.kuwatongoza. Kama homework haziwatoshi za shule, na hauna mida kuwasimamia then peleka hgelo shule. Wakirudi wanasona pamoja. Otherwise hamisha hao watoto shule.
 
Kwa mtoto wa darasa la 1 na 2 tuition kwa masomo ya kawaida bado ni mapema sana,mwalimu wa tuition wa somo la kiingereza angekuwa na umuhimu wa pekee kwa watoto wako.
 
we dada Nivea si juzi tu umejifungua ameshafika la kwamza?
 
Last edited by a moderator:
Nina shida ya mwalimu mzuri wakuwafundisha watoto wangu tuition wa darasa la kwanza na la pili nitamlipa vbizuri tu ,niko maeneo ya kibada-kigamboni .kama nitapata wa maeneo haya haya nitafurahi sana awe anakuja anawafundisha anaondoka,nineshanunua vitabu vyote vya level zao.
Nitashukuru kama mtajitokeza

Kumbe jirani yangu, watoto wako wanasoma shule gani? Wa kwangu wapo philadephia nusery na umri umeenda walianzia sehem nyngne wanagoma kuwaanzisha std 1, km ni jirani na home watafutie mwlm wa hapohapo shule wawe wanachelewa kdg kurudi home
 
Vizuri zaidi ungewapeleka boarding school maana usije pata mwalimu mwaribifu akawaharibu watoto wako.
 
Sasa hapa ndipo wazazi wa kipindi hiki wanapokosea!! Mtoto wa miaka minne unampeleka bodin na malezi atawalea nani??? Nyie ndio mnaoharibu watoto alafu badae mnaanza sema watoto hawasikii hawaelew!!! HAO NI WATOTO NA KWA UMRI WAO WANAHITAJI SANA MALEZI YA WAZAZI NA SIO KUWAPELEKA BORDIN!!!
 
Kwa mtoto wa darasa la 1 na 2 tuition kwa masomo ya kawaida bado ni mapema sana,mwalimu wa tuition wa somo la kiingereza angekuwa na umuhimu wa pekee kwa watoto wako.
na huyu ndiye ninayemtafuta mkuu kiingereza na hesabu ,hayo mengine wataelewa taratibu tuu
 
Kumbe jirani yangu, watoto wako wanasoma shule gani? Wa kwangu wapo philadephia nusery na umri umeenda walianzia sehem nyngne wanagoma kuwaanzisha std 1, km ni jirani na home watafutie mwlm wa hapohapo shule wawe wanachelewa kdg kurudi home
haya jirani hata mimi was my last option kwa kweli
 
si uwafundishe mwenyewe jamani? kitu gani kigumu hivo
huo muda uko wapi Smile ninawafundishaga mwenyewe jmos na jpil au nikiwa home ila hii yakutooka asu kurudi usiku wanatoka shule mapema wanacheza toka saa 6mchana mpaka usiku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom