Naanza kusoma mwaka huu out katika bachelor of art in education (BAED) nahiajikujua ili nijipange kukabiliana na hizo changamoto kwa kuanza na msingi mzuri. Ahsante.
Hamjambo wapendwa? Poleni na kazi maana najua lazima mnashughurika tu.
Naomba mwenye scheme of work ya Geography O-Level (sylubus mpya) na Advanced Mathematics anitumie ikibidi kwa email yangu...
Habari ndugu zangu humu ndani
Kuna tatizo limenikuta hapa katika kujaza fomu online ya kuomba mkopo kwa watu wa form six. Kuna step nikifika inagoma kuendelea namaanisha haifunguki tena.
Ni...
Habari ya mihangaiko wanajamii,
Nina kitu naomba niulize, kwa mwenye kufahamu, hasa wale ambao tunaoomba mkopo wa elimu kutoka HESLB, na tumepitia DIPLOMA...
Hii AWARD VERIFICATION NUMBER...
Naomba ushauri kwa wenye experience na masomo ya postgraduate kupitia Open university of Tanzania, Nafikiria kusoma masomo ya (MPM) MASTER OF PROJECT MANAGEMENT.
Nimeona kuna optiona kama nne...
salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na...
MAENDELEO YA WAHUSIKA KATIKA RIWAYA YA KISWAHILI TANZANIA
J.S. Madumulla
Katika uhakiki wa kipengele cha mhusika katika riwaya ya Kiswahili, mtindo wa uhakiki wa ‘kijadi’ umetokea kutumika...
TANZANIA OIL AND GAS PROFESSIONALS ASSOCIATION(TOGPA)
Do you know how to explore crude oil? here are 15 steps to follow.
EXPLORATION OF CRUDE OIL.
15 STEPS TO FOLLOW
1) Know that oil is found...
Habari wanajamii forum
Nilikuwa naomba kuuliza kuhusu hii page ya MWALIMU WA KISWAHILI sio matapeli kweli maana nilikuwa nataka nisome vitabu hapo lakini wanataka kuilipia online sasa kabla...
Wadau vipi.
Poleni na majukumu ya kila siku sana zaidi nitoe shukrani zangu kwa uongozi wa JF kwa kuturudisha hewani.
Tukirudi kwenye mada.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Nimehitimu...
Naupongeza uongozi wa chuo kikuu IFM kwa kutangaza nia ya kufungua tawi lake Dodoma.
Ombi: Tunaomba Vyuo vikuu vingine kama UDSM, SAUT, Tumaini vifungue matawi yake makao makuu ya nchi Jijini...
Wakuu Habari Zenu?
Kwa Wale Wanaoifahamu Hii Shule Naomba Watujuilishe Je Shule Hii iliyopo Dar-es-Salaam Haina Mwalimu Hata Mmoja Wa Kusomesha hata Somo Moja La Kiswahili?
DIV-I = 0
DIV-II = 0...
Habari za asubuhi wadau wote wa Jf.
Jana niliangalia kipindi cha "MWANAZUONI WETU" kinachorushwa TBC 1.
Jana walirusha kipindi hiko wakiwa chuo kikuu cha UDSM, Mada kuu ilikua ni umuhimu wa...