Msaada wa scheme of work | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa scheme of work

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Paul Kijoka, Mar 2, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hamjambo wapendwa? Poleni na kazi maana najua lazima mnashughurika tu.

  Naomba mwenye scheme of work ya Geography O-Level (sylubus mpya) na Advanced Mathematics anitumie ikibidi kwa email yangu (pkijoka@yahoo.com). Ziwe za Tanzania.

  Nashukuru sana. Please, ya Geography iwe ya form 4 na 3.
   
Loading...