Biotechnology inahusiana na vitu gan?

Biotechnology inahusiana na vitu gan?

Kwa ninavyojua ni taaluma inayohusisha kudesign na uvumbuzi wa vifaa vitakavyotumika kufanyia vipimo kwenye mahospitali. Mfano kama ile mashine unayowekewa kidoleni au ile unayofungiwa kwenye mkono ukiipress inakaza.
Pia na ukarabati wa mashine hizo kama X ray machines na nyinginezo.
Nawsilisha.
 
Biomedical engineers nao wafanye kazi gani sasa!!
 
Wadu sorry mwenye Elimu kuhus Bachelor ya Biotechnology
Unazisoma processes mbalimbali za kibiology then unajukumu ya Kuzibadilisha proceses hizo ziwe na faida kiteknolojia aidha kutengenezea products mbalimbali au kuzimanipulate hizo processes ziwe na faida zaidi mfano kwenye genetics engineering ya
kumanipulate production ya nyanya kuzifanya zizaliane zaidi
 
Kwa ninavyojua ni taaluma inayohusisha kudesign na uvumbuzi wa vifaa vitakavyotumika kufanyia vipimo kwenye mahospitali. Mfano kama ile mashine unayowekewa kidoleni au ile unayofungiwa kwenye mkono ukiipress inakaza.
Pia na ukarabati wa mashine hizo kama X ray machines na nyinginezo.
Nawsilisha.
Biomedical science ndio mwenye jukumu la kudesign vifaa vya tiba kidogo na mtu wa medical physics
Biomedical engineer ndio mwenye jukumu la kumaintain na kurepair
 
Ooooh!!! Sawa mkuu ni kweli.
Sikusoma vzur.
 
Biomedical science ndio mwenye jukumu la kudesign vifaa vya tiba kidogo na mtu wa medical physics
Biomedical engineer ndio mwenye jukumu la kumaintain na kurepair
Mkuu unaelewa tofauti ya scientist na engineer?

Yaani biomedical scientist alafu biomedical engineer afanye maintaince?? Uko serious kweli?
 
biotechnology ni elimu ambayo inakusaidia kutumia viumb hai au sehemu za viumbe hai (wanyama au mimea) kutengeneza au kuboresha bishaa yoyote ile kwa manufaa ya binadamu ....kwa mfano kuchukua mbegu ya mhindi na kuimodify iwe na uwezo wa kuzaa sana, kwa muda mfupi na iwe na uwezo wa kuvumilia magonjwa na wadudu waharibifu.
 
Nyongeza tu,

Ni elimu inayohusiana na uchambuzi (analysis) na upandikizaji (crossing) wa vinasaba ili kutengeneza viumbe wali mseto/machotara (hybrids)
 
biotechnology ni elimu ambayo inakusaidia kutumia viumb hai au sehemu za viumbe hai (wanyama au mimea) kutengeneza au kuboresha bishaa yoyote ile kwa manufaa ya binadamu ....kwa mfano kuchukua mbegu ya mhindi na kuimodify iwe na uwezo wa kuzaa sana, kwa muda mfupi na iwe na uwezo wa kuvumilia magonjwa na wadudu waharibifu.
Naskul san mkuu
 
Mfano kufanya paternity test hiyo ndio biotechnology..

Ina wigo mpana,ila inadeal na molecular biology(mambo ya cells and genes),kufanya cross matching kupata hybrid na mambo mengine mengi
 
Unaweza kujiajiri
 
Back
Top Bottom