Hivi ni nini kilichoikumba Kitonga Secondary School s2757?

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,477
27,176
Wakuu Habari Zenu?
Kwa Wale Wanaoifahamu Hii Shule Naomba Watujuilishe Je Shule Hii iliyopo Dar-es-Salaam Haina Mwalimu Hata Mmoja Wa Kusomesha hata Somo Moja La Kiswahili?

DIV-I = 0
DIV-II = 0
DIV-III = 0
DIV-IV = 9
DIV-0 = 94

Nafasi Kitaifa = 3280/3280
 
KITONGA.jpg
 
Hiyo ni natural selection ili dunia i balance lzm watu wengine wafeli na wengine wafaulu me nawapongeza madg maana walivokichafua unaeza hisi walikula kiapo cha kufeli

Mkuu Huu Uliouandika Wewe Ni Uchawi Wa Wazi wazi.....
 
ni sawa coz watu tumesoma mpaka degree lakini tupo tu mtaani hatuna ishu ivi saivi tutakua nao hao madogo huku kitaa kusoma Tanzania nikupoteza mda mi najilaumu sana kwanini nilisoma na kupoteza hela nyingi kwny ada Af nimeambulia patupu
 
Jamani Ambacho hamjelewa ni kwamba, shule nyingi za Kata Tanzania ni makambi ya kufugia watoto, wakue kimaumbo na sio kielimu ili wawe wapiga kura wa uhakika wa chama flani!!!!

Uwezi kuona ajabu katika shule 100 bora za serikali ni 7!!!! What do you expect????
 
Serikali ingekodisha tu baadhi ya shule ziendeshwe na watu binafsi kwa ada nafuu..
Shule ziwe Semi govt schools.
 
Back
Top Bottom