Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje ya nchi

glass amo

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,568
4,192
salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Form six or form sex?
Andika kwanza lugha yetu na ya queen vizuri

Jamii Forums mobile app
 
salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez

Sent using Jamii Forums mobile app
Declare kwanza jinsia yako alafu tuendelee.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom