Mligo Augustino
Senior Member
- Nov 29, 2017
- 126
- 278
Naupongeza uongozi wa chuo kikuu IFM kwa kutangaza nia ya kufungua tawi lake Dodoma.
Ombi: Tunaomba Vyuo vikuu vingine kama UDSM, SAUT, Tumaini vifungue matawi yake makao makuu ya nchi Jijini Dodoma ili kutoa huduma kwa urahisi kwa wananchi wanaohamia kwa kasi Jijini Dodoma, hasa wale wanaotaka kufanya masomo yao kwa Evening Programmes.