Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni shangwe na ndelemo katika baadhi ya familia leo baada ya watoto wao kutusua viliyvo, pia nami nawapa hongera, pole ambao mambo hayajaenda poa. Sasa mtihani mliobakiza ni wa kuchagua kozi za...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepata ufaulu wa div 3 ya point 17 kwa comb ya CBG ila point zangu hazifiki 4 ninaweza kupata chuo kweli na kama nikipata ni faculty gani ?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ya majukumu ndugu zangu. Katika shule za sekondari hapa nchini, wanafunzi hufundishwa na walimu wenye diploma na degree za ualimu. Naomba kujua utofauti wao katika kufundisha, kutoa...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimelipa 20,000 badala ya 10,000 NACTE kwa application ya vyuo vya certificate na diploma. Naona msg ya kunipa ya kuthibitisha haiji. Nifanyeje jamani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Amepata 3 ya 17 form six phy_F bios_E Chem–E Bam-E lakini o-level ana Bios-B Chem-B Phys-C Maths-A English-B je anaweza pata diploma kwa chuo au collage yoyote? Na kozi ipi? Kwa chuo kipi...
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Amepata div 2 ya 12, yaani CDE, yeye alichukua HGE
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sorry ivi ukipata alama gani unaweza kwenda ualimu wa shule ya msingi kupitia cheti cha kidato cha sita?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani matokeo ya form 6 dogo amepata hivi; History D Geography D English E Sasa najiuliza atapata chuo kweli, na kama atapata ipi course nzuri ya kusomea? Mimi naifikiria Procurement & Supplies
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kozi ya Diploma in Geoinformatics (GFM 4) inatolewa Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University, ARU) kwa ushirikiano wa karibu na Chuo Kikuu cha Twente, kitivo cha ITC. Kozi hii hutolewa Uholanzi pia. Ili...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba kuuliza kwa mwaka huu wa masomo 2018/2019 minimum qualification kwa kozi ya LLB ni ufaulu upi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Nimemaliza A level nina 2 ya 11 D ya phy na chem then C bios, naomba ushaur hapo nisome course gan ya afya maana nipo confused kdg
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi ambaye kwa sasa ndo naingia kidato cha sita, Nilipata matatizo wakati narudi shule baada ya hii likizo, nikaibiwa begi ambalo lilikuwa na vitu vifuatavyo •Cheti cha form iv...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa imeongeza muda wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao kwa wiki mbili...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Samahan wapendwa naomba kuuliza naweza soma computer in science kwa comb ya hge
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakuu mimi ni moja ya watu waliochaguliwa kozi ya BEMIT ya NIT lakini hadi sasa sijapata mkopo mpaka hii 3rd lot na sio mimi tu ni watu wengi wanailalamikia sasa kama kuna mtu amepata mkopo au...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Msaada jamani ,nmechaguliwa hge but Nina vigezo kamilifu vya kuchagua cbg ,lkn kati ya hizi comb mbili ipi ni bora ???[emoji24] [emoji24] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani samahani hivi nauliza MBNA hawa Uhakiki Portal wanachelewa kutoa majibu...maana kuna MTU tokea tarehe 26 had I Leo still hajapata mrejesho
1 Reactions
17 Replies
6K Views
MSAADA WAKUU NINA MDOGO WANGU AMEMALIZA KIDATO CHA NNE NAHITAJI MSAADA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KATIKA VYUO MBALIMBALI
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Shida yangu naomba nielekezwe jinsi ya kutengeneza lecture video kwa kutumia PC kwa window 7 au window yeyote . Yaan notes zipo tayari sasa nataka jinsi ya kuweka sauti ya km...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…