RJ45
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 340
- 119
Wakuu mimi ni moja ya watu waliochaguliwa kozi ya BEMIT ya NIT lakini hadi sasa sijapata mkopo mpaka hii 3rd lot na sio mimi tu ni watu wengi wanailalamikia sasa kama kuna mtu amepata mkopo au una taarifa za aliyepata mkopo tusaidie hapa maana tuna wasiwasi HESLB hawaijui hii kozi na kozi yenyewe ni priority.
Nawasilisha!
Nawasilisha!