Malipo ya NACTE

Malipo ya NACTE

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,014
Reaction score
104,480
Nimelipa 20,000 badala ya 10,000 NACTE kwa application ya vyuo vya certificate na diploma. Naona msg ya kunipa ya kuthibitisha haiji. Nifanyeje jamani
 
Nacte hawafanyi poa kwa wanaoomba diploma....anii kila ukiongeza chuo unalipa ten sio poa kabsaa..
 
Nimelipa 20,000 badala ya 10,000 NACTE kwa application ya vyuo vya certificate na diploma. Naona msg ya kunipa ya kuthibitisha haiji. Nifanyeje jamani
Dial 100 kwa voda watakutumia text au wambie wakutajie namba ya muamala basi
 
asante nitakwenda kwenye ofisi zao. What about zile extra ten, how do i recover it?
Daah!!!hapo cjajua watakupaa maelekezo gan mkuu navyojua mie kila instituon unalipa ten,ukiwafata ofcn kwo watakupaa maelekezo vizuri
 
Back
Top Bottom