winnie zubery
Member
- Jul 4, 2018
- 20
- 1
Msaada jamani ,nmechaguliwa hge but Nina vigezo kamilifu vya kuchagua cbg ,lkn kati ya hizi comb mbili ipi ni bora ???[emoji24] [emoji24] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Wewe una wish future yako iweje? Tuanzie hapo kwanzaMsaada jamani ,nmechaguliwa hge but Nina vigezo kamilifu vya kuchagua cbg ,lkn kati ya hizi comb mbili ipi ni bora ???[emoji24] [emoji24] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Thankx muchSiyo jambo baya kutoa ushauri lakini kuna baadhi ya mambo ambayo jamii huwa kikwazo na matokeo yake mtu kufanya kitu ambacho hakipo kwenye moyo wake!!
Mdogo wangu kama una nia kweli ya kuendelea na shule ask yourself utapenda kuwa nani baada ya kumaliza shule? Utataka uishi maisha gani baada ya kuhitimu?? Je Utataka kuajiriwa au kuwa muajiri!?
Majibu utakayoyapata kutokana na maswali hayo, jiulize yanaendana na comb gani kisha chukua hiyo comb nenda kasome!
Binadamu tunatofautiana utashi na mtazamo so decide kuwa dereva wa maisha yako na siyo kuwa abiria kuamuliwa ufike wap na kwa muda gani!!
Life has alot of secrets behind ambazo kwasasa huwezi zitambua but unachokifikiria leo kuna siku utaona hakina mchango!!
Follow your heart dear!!!
Soma upyaKuwa specific basi HGE CBG COMPUTER SCIENCE?
InaooShule uliyochaguliwa ina huo mchepuo wa CBG?
Halafu maandalizi yako yakoje?
Maana topic 13 za biology Sio mchezo
CbgWewe uko tayari kusoma course gani?
soma post yako namba 1Soma upya