Nimemaliza A level nina 2 ya 11 D ya phy na chem then C bios, naomba ushaur hapo nisome course gan ya afya maana nipo confused kdg
AiseeeKwani hiyo nayo siyo Kozi?
Sijawahi waza bora nkawe mjasiriamali
Inafaaa na anapata ila usijaribu kuapply MUHAS au Chuo cha serikali kwa program ya MD,Dental,Pharmacy n.k..tafadhali maana huwa kuna ushindani sana sikatai umefaulu ila kuna ambao wamekuzidi point nyingi sanaa kwenye afya hapo jaribu BMLS(KCMC),nursing(st john,Bugando, labda na UDOM), MD usiguse utapoteza hela na muda halafu jaribu na program vyuo vingine maana akili za form six leavers kama ni PCB anawaza MD MUHAS au Pharmacy PCM engeenering UDSM utakosa chuo mwishoni nenda SUA ardhi huko st john (kwa afya programs) UDSM na vingine vingi utafanikiwa usiponisikia sawaaKwa mujibu wa Criteria za TCU ili usome course za Afya ni lazima uwe na angalau C ya Chemi. Sasa hapo kwako mtihani kidogo.
Kama unataka kukosa chuo kwa selection zote ng'ang'ania afya kwenye vyuo vya serikal,,, hutaamin najua saiz huwez kuelewa,,,,,,,,,Nimemaliza A level nina 2 ya 11 D ya phy na chem then C bios, naomba ushaur hapo nisome course gan ya afya maana nipo confused kdg
Nimekuskia mkubwaInafaaa na anapata ila usijaribu kuapply MUHAS au Chuo cha serikali kwa program ya MD,Dental,Pharmacy n.k..tafadhali maana huwa kuna ushindani sana sikatai umefaulu ila kuna ambao wamekuzidi point nyingi sanaa kwenye afya hapo jaribu BMLS(KCMC),nursing(st john,Bugando, labda na UDOM), MD usiguse utapoteza hela na muda halafu jaribu na program vyuo vingine maana akili za form six leavers kama ni PCB anawaza MD MUHAS au Pharmacy PCM engeenering UDSM utakosa chuo mwishoni nenda SUA ardhi huko st john (kwa afya programs) UDSM na vingine vingi utafanikiwa usiponisikia sawaa
Kcmc hawana BMLS wana Bs in Health Laboratory. Na hao wanataka at least C in Chemistry.Inafaaa na anapata ila usijaribu kuapply MUHAS au Chuo cha serikali kwa program ya MD,Dental,Pharmacy n.k..tafadhali maana huwa kuna ushindani sana sikatai umefaulu ila kuna ambao wamekuzidi point nyingi sanaa kwenye afya hapo jaribu BMLS(KCMC),nursing(st john,Bugando, labda na UDOM), MD usiguse utapoteza hela na muda halafu jaribu na program vyuo vingine maana akili za form six leavers kama ni PCB anawaza MD MUHAS au Pharmacy PCM engeenering UDSM utakosa chuo mwishoni nenda SUA ardhi huko st john (kwa afya programs) UDSM na vingine vingi utafanikiwa usiponisikia sawaa
Kama umenisikia safari njema nakutakia kheri mbeleniNimekuskia mkubwa
Wewe jaribu si wameandika atleast C in chemistry na si lazima kama ana ya Biology wataweza mchaguaKcmc hawana BMLS wana Bs in Health Laboratory. Na hao wanataka at least C in Chemistry.
Hiyo ni minimum entry so hilo neno at least lina maana kubwa sana. Kama pesa anayo aombe ila asiwe na mategemeo makubwa atafute alternative way. Kwa ajili ya future ya maisha yake.Wewe jaribu si wameandika atleast C in chemistry na si lazima kama ana ya Biology wataweza mchagua
Samahani kwa hiyo BMLS