Kwa matokeo haya huyu dogo atapata chuo?

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
2,524
5,857
Jamani matokeo ya form 6 dogo amepata hivi;
History D
Geography D
English E
Sasa najiuliza atapata chuo kweli, na kama atapata ipi course nzuri ya kusomea? Mimi naifikiria Procurement & Supplies
 
Akichagua kwa umakini chuo atapata. Swali ni yeye anataka kuomea nini? Tafuteni TCU admission guide humu JF au TCU website halafu mpitie, pia muangalie ushindani uko kiasi gani ili kuweza kufanya uchaguzi mzuri.
 
Mkuu, kwa urahisi, TCU admission guide nimeiambatanisha.
 
Attachments

  • Admission Guidebook_2018_Form Six Applicants_10072018_Updated.pdf
    1.9 MB · Views: 115
Back
Top Bottom