RITA:Uhakiki vyeti..

RITA:Uhakiki vyeti..

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Jamani samahani hivi nauliza MBNA hawa Uhakiki Portal wanachelewa kutoa majibu...maana kuna MTU tokea tarehe 26 had I Leo still hajapata mrejesho
 
kuna trick inatikiwa muitumie.. kuna jamaa zangu wawili wamefanya hiyo trick na wamefanikiwa kujibiwa mapema.. sema ndio hivyo muda umeisha... TOO LATE....
 
Tricky gan mda upo mbna
 
nadhan kulikuwa kuna shd huku kwa sababu kuna dogo alituma tang mwez wa sita akakaa mwez bila majib akatuma mara ya pili mrejesho ukarud..but yote kwa yote pambana mkuu coz mda nao umeongezwa kwa hyo punguza presha kdg.
 
OK kaka...
 
kuna trick inatikiwa muitumie.. kuna jamaa zangu wawili wamefanya hiyo trick na wamefanikiwa kujibiwa mapema.. sema ndio hivyo muda umeisha... TOO LATE....
Mda umeongezwa mkuu mpk tarehe 31 mwez wa saba..kwa njia ya EMS posta ni tarehe 12 August
 
Tricky gan mda upo mbna
KUPOST hicho cheti siku ya IJUMAA... lazima ujibiwe maana wikiend huwa hawafanyi kazi so kutokana na wingi wa kazi inawalazimu hata wakiwa majumbani kwao Kuhakiki hivyo basi huanza na zile post za juu juu ndio hapo wanakutana na cheti chako ulichokipost ijumaa.. maana kinakuwa juu katika system..

watu zaid ya 6 wamefanya hiyo trick na wamefanikiwa..
 
Jamani samahani hivi nauliza MBNA hawa Uhakiki Portal wanachelewa kutoa majibu...maana kuna MTU tokea tarehe 26 had I Leo still hajapata mrejesho
IMG-20180712-WA0000.jpg
 
Jamani samahani hivi nauliza MBNA hawa Uhakiki Portal wanachelewa kutoa majibu...maana kuna MTU tokea tarehe 26 had I Leo still hajapata mrejesho
Mkuu kama upo Dar, au kama una mtu ambaye yupo Dar mtume aende RITA akawasilishe hayo malalamiko, ukiwakomalie hiyo hiyo siku wanakuhakikia moja kwa moja.

Mimi nilienda nikawakomalia walinihakikia siku hiyohiyo
 
Back
Top Bottom