winnie zubery
Member
- Jul 4, 2018
- 20
- 1
Samahan wapendwa naomba kuuliza naweza soma computer in science kwa comb ya hge
Hata ukitaka kusoma rocket science, ni wewe tu Na pesa yakoSamahan wapendwa naomba kuuliza naweza soma computer in science kwa comb ya hge
Rocket science ,chuo gani kinatoa corz hioHata ukitaka kusoma rocket science, ni wewe tu Na pesa yako
una shilingi ngapi nikupeleke?Rocket science ,chuo gani kinatoa corz hio
Hapo lazima uwe una math or phys ila kuna education with computer nahisi hii huwa wanachukua ( sina uhakika lakini ).Samahan wapendwa naomba kuuliza naweza soma computer in science kwa comb ya hge
Level yyote ile mkuuUnataka kusoma Kwa level gani?
Kwa certificate unaweza soma kama ulifaulu MATH na PHYSICS o level. Diploma unaweza soma college za private ila zile za uchochoroni ila hutoweza kujiendeleza labda uanzie certificate kwanza. Degree hutoweza kusomaLevel yyote ile mkuu
Math nko na D O LEVEL ,Kwa certificate unaweza soma kama ulifaulu MATH na PHYSICS o level. Diploma unaweza soma college za private ila zile za uchochoroni ila hutoweza kujiendeleza labda uanzie certificate kwanza. Degree hutoweza kusoma
Ooh kwa comb angu je,Kimtaala unaweza kukataliwa. Ila ni kitu ambacho hata mtoto akimaliza la saba anasoma. Ni suala la kuwa na uwezo kwa Logics.
Lkn x ntasoma Bam a levelHapo lazima uwe una math or phys ila kuna education with computer nahisi hii huwa wanachukua ( sina uhakika lakini ).
Kama hela zoteee vileuna shilingi ngapi nikupeleke?
Nashukuruingia website ya TCU, kisha download pdf ya guide, watakuonesha kila kozi na vigezo vyake. hapa wengi watakupa majibu ya kubahatisha. au wengine wakwambie huwezi ilhali uwezekano upo.
OoohNi PM nikupe madini
na mm nimesoma hiyo HGE lakini nimekuwa nikiaaply course ya land managment and valuation sijachaguliwa kwa kwa sababu gani wakuuNi PM nikupe madini
Combi ya HGE haikuruhusu kusoma BSc (Computer Science), vyuo vyote ukiacha ATC vinataka lazima uwe na principal pass in Mathematics + somo lingine (Souce TCU Admission guideline 2018/19)Samahan wapendwa naomba kuuliza naweza soma computer in science kwa comb ya hge