Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,251
Ni shangwe na ndelemo katika baadhi ya familia leo baada ya watoto wao kutusua viliyvo,
pia nami nawapa hongera, pole ambao mambo hayajaenda poa.
Sasa mtihani mliobakiza ni wa kuchagua kozi za kwenda kusoma kitu pekee kitakacho determine maisha yenu yote, ukikosea/kupatia ndivo maisha yatakavokuwa hakuna option la sivyo mtaishia kufuga kuku kama sisi.
Chonde chonde kuweni makini bora ukachagua kozi ambyao hata magufuli asipocheka unaweza kubangaiza mwenyewe. mkumbuke kabisa mpaka mnagraduate magufuli bado atakuwa kabakiza miaka kama 3 ivi so uhaba wa ajira bado utakuwa palepale.
kila la kheri
@DARUBINVOICE