Msaada jinsi ya kutengeneza lecture video

Habari zenu wakuu,
Shida yangu naomba nielekezwe jinsi ya kutengeneza lecture video kwa kutumia PC kwa window 7 au window yeyote .
Yaan notes zipo tayari sasa nataka jinsi ya kuweka sauti ya km kufundishia hivi kama ilivo hii video hapa chiniView attachment 801386
professional utahitaji
1.microphone for recording,headphone
2.editing software.
hapa zipo nyingi kama adobe premier pro,pinnacle studio,corel,cyberlink,magix,etc
3. recording voice
kwenye kurecord voice kuna software kibao ila unaweza tumia hizo za kwenye kuedit zina sehemu ya kurecord(voice over)
but recording audio kuna software kama adobe audition,audicity,Cubase,etc.
au(simple way)
simple way ni record sauti ,alafu tumia editing software kama pinnacle or other,put sauti kwenye video .
 
Ahsante mkuu ngoja nijaribu kuifanyia kazi
 
Back
Top Bottom