Taarifa kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita,wengine wanaotaka kujiunga na ngazi mbali mbali za elimu ie.Certificate,diploma,undergraduate na postgraduate.
Kuna maonyesho ya tume ya vyuo vikuu yanafanyika mnaz mmoja yameanza leo 18/7 ad 21/7 kama ni muhusika na upo karibu ni vizur kufika mana vyuo vingi vipo pale vle vle loans board na scholarship agents