Mshaurini huyu GEO-D,Hist-C,Eng-C Afanye chaguo lipi

Mshaurini huyu GEO-D,Hist-C,Eng-C Afanye chaguo lipi

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,180
Reaction score
1,277
Wasalaam,
Nimepewa kazi na mzazi wa kijana mmoja kuwa nimshauri kijana wake achague kozi na chuo anachoweza kupata shahada.Kiukweli mimi ni mzoefu kwenye kada za Sayansi(Mhandisi) sasa imeniwia vigumu kumfanyia machaguo huyu kijana,hivyo naamini humu jukwaani wapo wadau wa sekta za hayo masomo.Naombeni tumshauri huyu Mzazi na Kijana wake.
Asanteni
 
Education - UDSM, St. Augustine
Procurement - TIA, CBE, IAA
IT - IFM, IAA, CBE
BBA - CBE, MZUMBE, IAA
Laws - Tumaini Univ
Sociology, Journalism - UDSM

wengine wataongezea, ila muhimu aulizwe preferences zake zilipo!
 
Education - UDSM, St. Augustine
Procurement - TIA, CBE, IAA
IT - IFM, IAA, CBE
BBA - CBE, MZUMBE, IAA
Laws - Tumaini Univ
Sociology, Journalism - UDSM

wengine wataongezea, ila muhimu aulizwe preferences zake zilipo!
Asante sana kiongozi,nimeshaona mbili ambazo katika kumdadisi dogo alizitaja Procurement&Education.Shukrani sana
 
Kwenye procurement unaweza ongeza NIT nayo sio mbaya.
 
Education - UDSM, St. Augustine
Procurement - TIA, CBE, IAA
IT - IFM, IAA, CBE
BBA - CBE, MZUMBE, IAA
Laws - Tumaini Univ
Sociology, Journalism - UDSM





wengine wataongezea, ila muhimu aulizwe preferences zake zilipo!



Mkuu IT ifm...embutuelimishe vzr hpo
 
Back
Top Bottom