MASTER OF BUSINESS MANAGEMENT

cpb

Senior Member
Nov 1, 2014
156
87
habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika

ushauri wenu jamani
 
habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika

ushauri wenu jamani
Kitu cha kwanza ungefanya ni kuingia kwenye website ya hicho chuo na kupakua prospectus yao na kuisoma kikamilifu. Halafu jazia na ushauri wa hapa JF.
 
Back
Top Bottom