Naombeni ushauri kuhusu kozi ya kusoma chuo

cmomwa

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
55
Reaction score
8
Mimi ni miongon mwa wanafunz niliomaliza kdato cha sita sasa nilikuwa naomba mnisaidie nahitaj kuchukua geography na mathematics chuo sa bdo cjajua faculty ya kuchukua na chuo cha kwenda kusoma naomba mnipe ushaur...
 
Angalia udom naona wanayo
 
Chukua bachelor of science with education,,,, udsm then utakomaa na masomo yako mawili,,,, math na geo,,,,, njoo tukutane CONAS,,,, ualimu wa masomo ya science unalipa kwa iyoo hujakosea mdogo wang,,,,, kikubwa ni kupiga masikio,,, chuo hakuna bata tenaa kama unavidhan ni kupambana kwel kwel ucku na mchana la sivyo unaweza rud nyumban mpaka huwez amin,,,,,,,
 
weka kwanza matokeo yko hapa ndio tukushauri dogo,pia sio faculty ni course,ukiwa na vigezo ndio utashuriwa
 
Chukua bachelor of science with education,,,, udsm then utakomaa na masomo yako mawili,,,, math na geo,,,,, njoo tukutane CONAS,,,, ualimu wa masomo ya science unalipa kwa iyoo hujakosea mdogo wang,,,,, kikubwa ni kupiga masikio,,, chuo hakuna bata tenaa kama unavidhan ni kupambana kwel kwel ucku na mchana la sivyo unaweza rud nyumban mpaka huwez amin,,,,,,,
Shukran mkuu......!!!!!
 
We si ndo ulikua una lalamika unasoma kozi usiyoipenda?
 
Chukua bachelor of science with education,,,, udsm then utakomaa na masomo yako mawili,,,, math na geo,,,,, njoo tukutane CONAS,,,, ualimu wa masomo ya science unalipa kwa iyoo hujakosea mdogo wang,,,,, kikubwa ni kupiga masikio,,, chuo hakuna bata tenaa kama unavidhan ni kupambana kwel kwel ucku na mchana la sivyo unaweza rud nyumban mpaka huwez amin,,,,,,,
Mzee mwambie maana vijana huwa wanadanganyana chuo ni msuli zaidi wa advance hasa kozi za sience
 
Back
Top Bottom