Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,984
- 2,628
Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
Wenzako walipokuwa wanasoma,we ulikuwa unaeka mikeka yako ya GG.Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
chuo gani?Wakuu nimepata supplementary masomo matatu nifanyeje nitoboe najisikia vibaya
T.i achuo gani?
Kuna yule jamaa ako alipata sup 9Enzi zetu kule MUST hizo ni chache sanaa😁
T.i.aHuna namna zaidi ya kujipanga kufanya sup, ukimaliza chuo huku mtaani kuna sup kibao.
Upo chuo gani na kozi gani?
SimsMnatumia SIMS, ARIS, SARIS au nini? Sema nizichomoe. #codemaster
mambo ya liquid hayoT.i.a
Ya kifala iyo. Sema ngoja ikikushinda semester 2 niambie.Sims