Mbonea mweta
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 140
- 40
Wanatuambie udahili unaendelea tusubiri wakat vyuo vingi vimeanza 2nd round
Ya 32???Huku si ndipo ilitoka ile GPA ya Karne.
Halaf wametoa nafasi ya kufanya application bt hawasave data ukiziwekaKule network hakuna
Mungu atuepushe tu na akili za namna hii aiseeHalaf wametoa nafasi ya kufanya application bt hawasave data ukiziweka