New Manase
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 294
- 39
Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
pR ndo procurement au? Nifafanue kdogo mkuu?mimi ninayo tangu 2009 hakuna kipya,cpa zamani kwa sasa mpk uwe na PR ndio inaweza kukusaidia,najuta kupoteza muda huku bado unahitaji kumnyenyekea mtu akubebe
New Manase kama unataka kubobea katika fani ya uhasibu, ni muhimu kusoma CPA / ACCA maana ndiyo sifa ya kuitwa Mhasibu au Mkaguzi wa Mahesabu. Maters ni "added advantage" kwenye faniKwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
New Manase kama unataka kubobea katika fani ya uhasibu, ni muhimu kusoma CPA / ACCA maana ndiyo sifa ya kuitwa Mhasibu au Mkaguzi wa Mahesabu. Maters ni "added advantage" kwenye fani
mimi ninayo tangu 2009 hakuna kipya,cpa zamani kwa sasa mpk uwe na PR ndio inaweza kukusaidia,najuta kupoteza muda huku bado unahitaji kumnyenyekea mtu akubebe
hahahahahaha! Sishangai ndo serikali ye2 hiikusoma ndo nn jamani, acheni kujitesa vijana...nimeishia darasa la saba lakini saizi niko BOT nakula bata. Mimi ndo mtoto wa mkubwa fulani mtaniambia nn nyie!
duh! Mbona njia panda labda mdau afunguke vzuri imekuaje wanamtosa?Una CPA kweli wewe? mbona sasa hujui umuhimu wake? inawezekana kweli mhasibu akawa hajui umuhimu wa CPA? acha kumdanganya huyu kijana
mi nachapa hadi phd, haya maCPA cyatakCPA maana yake ni Certified Accountant ni sawa na kusoma CoET then ukaenda ERB kujisajiri na kuwa Certified zote mbwembwe tu cha msingi bank unasoma sh ngapi kwenye acc!!!
kusoma ndo nn jamani, acheni kujitesa vijana...nimeishia darasa la saba lakini saizi niko BOT nakula bata. Mimi ndo mtoto wa mkubwa fulani mtaniambia nn nyie!
wote 2kiwa wasomi nani atamuajiri mwenzake???Daagh..jana nimekula ban kwenyw thread fulani humu kwa watu kana hawa......sasa bahati yako wewe si tuilalie mlango wazi we kilaza???
wote 2kiwa wasomi nani atamuajiri mwenzake???
wote 2kiwa wasomi nani atamuajiri mwenzake???
yaani mwasibu usipokuwa na cpa hata uwe na phd,hutambuliwi na selikali na uma kwa ujumla kufanya kazi kama publick accountant,...ni sawa na engineer kufanya kazi bila kuwa na cheti cha CRB
- :yield:
hahahahahaha! Ilo nalo neno bt kitabu hakim2pi mja wake hamna mxomi amezeeka bila kupata kazi I AM POSITIVELY SURE ndo mana hata wewe unasoma futa izo fikra za kutokupata kazi coz unaposoma unaondoa ujinga na uwezo wa kufikir unakuwa mkubwa tofaut na asiyesoma kabisa, nielewe hata bila ya mifanoNa ni nani amekwambia wasomi pekee ndo wenye pesa za kuajiri wenzao??......fikra mgando
yES positively sureAre you serious??