Baada ya kupata "code'' kutoka tcu na ''confirmation successfully'' kutoka chuo husika nini kinafuata?

Baada ya kupata "code'' kutoka tcu na ''confirmation successfully'' kutoka chuo husika nini kinafuata?

Joined
Jul 23, 2018
Posts
41
Reaction score
30
Wanajamvi kutokana na destruri ya taasisi hii ya TCU kila hatua kuwa na changamoto zake ambazo kimsingi si za lazima sana lakini kila mara tunajikuta hukohuko tu. Sasa baada ya kuconfirm chaguo la chuo kwa wale wa multi selection nini kinafuata kwa sababu tangu juzi baada ya confirmation bado zile list za multiple ziko hivo hivo na tarehe za second round zinazogea kila siku. Tunashindwa kujua kama vyuo vimetukubali au la ili tuingie mchakato wa round ya pili.
 
Back
Top Bottom