Bsc in Wildlife Management

Bsc in Wildlife Management

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Heshima kwenu wana JF!
Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na amechaguliwa SUA kuchukua Bsc in Wildlife Management.
Sasa swali langu kwenu VP hii Bachelor ipo vizuri katika soko la ajira na kujiajiri maana ni mtoto wa kike na ameonyesha kutoipenda kabisa.Naomba ushauri wenu kwa wanaoijua vizuri.
Asanteni.
 
Iko poa sana, mwambie akasome aaache mapenzi ili apate GPA kubwa ili aje atese mtaani.
 
Heshima kwenu wana JF!
Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na amechaguliwa SUA kuchukua Bsc in Wildlife Management.
Sasa swali langu kwenu VP hii Bachelor ipo vizuri katika soko la ajira na kujiajiri maana ni mtoto wa kike na ameonyesha kutoipenda kabisa.Naomba ushauri wenu kwa wanaoijua vizuri.
Asanteni.
Namwonea huruma. Ivi anaishi Tanzania?

Kwa kombi yake bora asome bvm, animal science, agric general, agronomy na nyingine kama hizo...

Na hata akikosa ajira ataweza jiajiri kwa urahisi. Sasa hiyo wildlife akikosa ajira atajiajiri vipi?

Mind you hii ni awamu ya jiwe anayejiita kichaa!!
 
Mkuu kama hajaipenda bora ahame course,ajira kwa wildlife officers sio nyingi, time frame kutoka ajira moja hadi nyingine ni parefu sana..bora aende bvm though ni tough na ni miaka 5
 
Ni kozi nzuri ase asome. Wanafundisha mambo mengi hata ajira zinaweza kuwapo Kwa sababu mambo ya wanyama pori yamepewa kipaumbele na mashirika makubwa ya uhifadhi duniani.
 
Back
Top Bottom