Nadhani utaratibu ni kuwasili chuo husika ulichochaguliwa baada ya hapo anza kufuatilia utaratibu wa kuhama hyo program kwenda program unayoihitaji.NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA
nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
Kuna form ya kuhama programme huwa zipo chuo..baadhi ya vyuo sio issue sana,ni wewe tu kujaza hiyo fomu then chuo wanapeleka tcu kwa ajili ya kubadilisha taarifa zakoAsante ndugu, utaritibu ukoje naandika barua au
Asante sana mkuu kwa taarifaKuna form ya kuhama programme huwa zipo chuo..baadhi ya vyuo sio issue sana,ni wewe tu kujaza hiyo fomu then chuo wanapeleka tcu kwa ajili ya kubadilisha taarifa zako