Jamani naulizeni Kwa wale waliowahi kusoma chuo cha power computer Posta kilichopo Jengo la SABODO mtaa wa INDIA nisaidie kunipa sifa na uzuri wa chuo hicho
Napenda Kusoma IT BUSINESSES
Definition
Colonial economy was an economy introduction projection Government to
fulfill them. Colonial economy was introduced in order to make production
distribution and consumption of material...
Wakuu nilibahatika kuomba vyuo vitatu ila mungu kasaidia jina langu limekuja kwenye multiple nimepata Iringa university pamoja na SAUT mwanza Ila cha kushangaza mpaka Leo tarehe 6 cjapata...
Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B...
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but...
Habari ninahitaji msaada nimefanya addisimon ya kuapply sec round kwa mwanangu chuo kikuu cha udsm lakini nilifanikisha kuaapply vizuri tu But kuna haya maneno ninayaona baada ya kuangalia my...
Mpaka sasa sijapata code
Hapa sieelewi cha kufanya TCU ninmewatumia taarifa zote ila mpaka sasa hamna chochote....
Hawa TCU wanaboa kweli, nashindwa nifanye nini maana nipo mkoani na deadline ya...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi walioomba vyuo vikuu mwaka huu,lakini sifurahishwi na treatment tunayopewa na watumishi wa vyuo hasa wa idara za admission,kumekuwa na tabia za kutuzimia simu, kutopokea...
Ndugu wana JF salute.
Mimi nilihitimu form six 2012 nikapata admission UDOM nikasoma mwaka mmoja,kwa kuwa nlikuwa self sponsored hali ilikuwa ngumu nikalazimika kuacha masomo bila ya kutoa...
Habari wakuu,
nimeona leo ardhi wametoa majina ya waliochaguliwa kozi mbalimbali kwa mwaka 2018/2019; mwenye taarifa zozote kuhusu UDSM;
ukizingatia nimeskia TCU wanataka mpaka tarehe 4 wanafunzi...
Habari za majukumu jamani.
Napenda kuuliza kuhusu ubora wa MBA itolewayo na chuo cha Archbishop Mihayo University College of Tabora ambayo ni tawi la SAUT.
Mimi nimegraduate bachelor yangu...
Nahitaji mwalimu mzuri wa form one physics, chemistry, biology na Maths na mwalimu wa commerce, geography, bookkeeping and History awe Dar es salaam crash programme ya siku 10. PM me please