MSAADA WA MAWAZO

MSAADA WA MAWAZO

Joined
Jul 14, 2018
Posts
36
Reaction score
7
Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B yaani nifanye shukhuri yy ataniwezesha kamtaji sasa ahida yangu kubwa ni USHAURI kama wa chuo au hata wa shukhuri yaani na jianda na plan B kabla hata matokeo ya chuo haja toka coz hawamu ya pili siyo ya kutegemea sana hvyo na waomba USHAURI sijui mna nishauli nn ndugu zanguu?????
 
Anza na plan B yakitiki unaenda kusoma kwa kuna shida gan ally a smart boy
 
Mkuu Fanya biashara Nina ushuhuda hapa....ngoja nitarudi ili nikueleze
 
Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B yaani nifanye shukhuri yy ataniwezesha kamtaji sasa ahida yangu kubwa ni USHAURI kama wa chuo au hata wa shukhuri yaani na jianda na plan B kabla hata matokeo ya chuo haja toka coz hawamu ya pili siyo ya kutegemea sana hvyo na waomba USHAURI sijui mna nishauli nn ndugu zanguu?????
Wewe unaonaje, upo tayar kuacha kwenda chuo mwaka huu ufanye shughuli nyingine?
 
Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B yaani nifanye shukhuri yy ataniwezesha kamtaji sasa ahida yangu kubwa ni USHAURI kama wa chuo au hata wa shukhuri yaani na jianda na plan B kabla hata matokeo ya chuo haja toka coz hawamu ya pili siyo ya kutegemea sana hvyo na waomba USHAURI sijui mna nishauli nn ndugu zanguu?????
Unaeza ukafanya vyote kwa pamoja
 
Back
Top Bottom