Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 3,697
- 6,743
Ndugu wana JF salute.
Mimi nilihitimu form six 2012 nikapata admission UDOM nikasoma mwaka mmoja,kwa kuwa nlikuwa self sponsored hali ilikuwa ngumu nikalazimika kuacha masomo bila ya kutoa taarifa chuoni.
Nikaingia mtaan kuji'reboot na bahati nzuri nimebahatisha nataka kurudi kumalizia masomo yangu bila kutegemea loan board. Naomba wadau mnisaidie taratibu zikoje hasa kwa mtu ambaye hakuandika barua ya kuahirisha masomo.
NAOMBA USHAURI AU MAONI MAANA NATAKA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 NDO NIFANYE APPLICATION.
asanteni