Ndo nimetoka ofisi za TCU

Ndo nimetoka ofisi za TCU

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,922
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
 
Application za chuo huwaga zinasumbua always, mfumo bado sio mzuri
 
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
USINGELIONDOKA, UNAKOMAA NAO! MPIGIE NDALICHAKO
 
Umefanya vizurii
 
IPO vzr ,madogo wengne hku wanalialia tu code hawazion na wapo kmbiji
 
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
Mkuu bado upo hapo maana namimi nina tatizo hilo hilo na nipo Dodoma
 
Ikishindikana una mawili-vamia wizara ya elimutafuta waziri au mkurugenzi vinginevyo funga safari ya dar TCU ikishindikana omba raundi ya pili kwani utakuwa huja confirm chuo chochote ingawa sijui effect ya hili kwenye kupoteza nafasi yako. Hapa nawaza tu kwa sauti sijachuja vizuri lile nisemalo.
Lingine CEO wa TCU alikuwa Prof. pale ardhi university nafikiri anaitwa Kihampa jaribu kuingia huko uangalie kama unaweza kupata namba yake ya simu kama hajabadlisha halafu mpigie.
 
Nampata VP huyo CEO
 
Mm kesho ntazuka tena uko. Jana waliaminisha watatuma ila bado ni chenga tu
 
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
Kwaiyo mshapewa au bado kusubiria?
 
tcu ni jipu. kwa hali iliyofikia tcu waviachie vyuo viendelee na michakato. wale wanafunzi watakaosajiliwa vyuon ndipo majina yatumwe tcu na baadae bodi ya mikopo....
 
Mimi mpaka sasa sina imani nao,
Nilichofanya nimewaandikia message kuwa naenda zangu chuo fulani,
Huo ni ushahidi tosha wa confirmation, kwani kinachohitajika si ni mtu uconfirm tu?
Wao si wameshindwa kututumia codes? Basi tushaconfirm kwa email, hatuwezi kupoteza mwaka nyumbani kisa mapungufu yao
 
nadhani swala la msingi tcu wasubiri majina ya watakaoripoti chuoni kisha wao wayatume loan board. nje ya hapo watasumbua wanafunzi na kusababisha wakose vyuo.
 
Ni kweli, maana huo mfumo wao umeprove failure, total failure!

Watu hawajatumiwa codes, hata waliotumiwa zinagoma kuconfirm.
 
Back
Top Bottom