VYUO VIKUU TANZANIA TUJISAHIHISHE

VYUO VIKUU TANZANIA TUJISAHIHISHE

mawazomgala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
342
Reaction score
212
Mimi ni mmoja wa wanafunzi walioomba vyuo vikuu mwaka huu,lakini sifurahishwi na treatment tunayopewa na watumishi wa vyuo hasa wa idara za admission,kumekuwa na tabia za kutuzimia simu, kutopokea simu na kutoa majibu mabaya kwa wanafunzi wanapouliza hoja mbalimbali zinazohusu maombi ya vyuo.
tafadhali tujisahihishe au tubadili mfumo wa maombi kurudi kwenye kutuma maombi kwa njia ya posta ili tuwapunguzie kero ya simu tunazowapigia pale tunapokutana na changamoto za mfumo.
1. IFM mjisahihishe
2.NIT mjisahihishe
3.udsm mjisahihishe
wasalaam mwombaji wa chuo.
 
Pole sana kijana tabia hii kwa watanzania hasa madada zetu waliopo reception maofisini inakatisha tamaa kabisa na
wanaziharibia sifa taasisi wanazozifanyia kazi mimi nadhani taasisi hizi ziwe hata zinawafanyia uchunguzi wa mara kwa mara wanyakazi wao,wengi hawana sifa za huduma kwa wateja.
 
ASANTE MKUU
 
Hapo NIT yupo mdada namba yake ina 23 mwisho ila kuna boy ana 99 mwishoni yupo vizuri sana kama unatatizo lazma atakusaidia
 
Back
Top Bottom