Msaada;concept ya alternation of generation

Msaada;concept ya alternation of generation

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
720
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya kitu hii anisaidie..
Maana inanichanganya haya maswala ya sporophyte generation sijui gametophte generation..

Na ni jinsi gani hizo sporophte na gametophte generation zina relate na life cycle ya mimea kama fern,moss,liverwort, pines n.k

Naomba tu dig deeper katika maelezo
 
Back
Top Bottom