JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
Habari!
Ningependa kupata uzoefu kiujumla kwa wadau ambao mmeshasoma au mnasoma masters degree.
je umeionaje shule ya masters degree ukilinganisha na ile ya bachelor ?
ipi kwako imekua simple na ipi imekupa shida?
ugumu wa masters upo wapi?
wepesi wa masters upo wapi?
utamshauri nini mwanafunzi anayeingia kufanya masters akikuomba advice ?
je unamwambiaje anayeingia masters na hana idea yoyote kuhusu mambo ya research?
KARIBUNI WADAU WENYE UZOEFU