Tofauti kati ya dedication na acknowledgement kwenye research

loosimingori

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
920
Reaction score
1,146
Habari za leo member mwenzangu wa jf.Naomba kuelimishwa vizuri tofauti ya dedication na acknowledgement kwenye dissertation.
 
Ku'acknowledge ni kutambua mchango wa kipekee kwa waliosaidia kufanikisha utafiti wako kwa njia moja au nyingine, dedication ni yule/wale unaowatunuku/jitolea kazi yako ya utafiti kwao..
 
thank you ila ni sahihi kumuacknowledge na kumdedicate the same person?
 
Haina tatizo...

mara nyingi huwa acknowledgement inabeba watu weengi ila dedication inaweza kuwa kwa mtu mmoja au wachache kwa sababu zako binafsi za moyoni , sasa unaweza kumuacknowledge mtu mfano mzazi kwa labda kukupa support au hope kipindi cha research, zaidi pia unaweza specifically "kumdedicatia" huyo huyo mzazi

sorry kwa kuendelea kuchukua muda wako;unavyodedicate kwa mtu ni lazima utoe na sababu kwa mfano i would like to dedicate this dissertation to my lovely wife for providing me scholarship to pursue this level of education au sababu inatolewa pale kwenye acknowledgement tu
 
Sababu unatoa kwenye acknowlegment... kwenye dedication just mention the name (s)

nashukuru sana mkuu kwa kureact mapema mno ktk maswali yangu ila nimeuliza hvyo kwa kuwa kuna examiner 1 wakati na defend akaniuliza why you give dedication without mentioning the reason sasa hapo ndio akawa kanimix
 
Unaweza kutoa sababu kwa ufupi sana ila not necesarilly, ngoja nikuinbox mifano kadhaa ya acknowledgement na dedication.. hopefully utapata nyongeza kidogo

Back
Top Bottom