Kwa nini TCU isianzishe Law Pre-Entry Exams!

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
Uanasheria ni profession ambayo inahitaji mtu ambaye yupo makini sana.Kuna watu wengi tunawaona na degree za sheria mitaani wakilalamika kwamba kozi ya sheria hailipi.Japo kuwa mimi sikusoma sheria lakini ni kozi namba moja ambayo naishemi vyuoni.Mtu kusoma sheria inahitaji kia na upeo mkubwa sana.Unatakiwa kichwa chako kiwe na diversity ya ujuzi.Yaani kwenye uEngineer uwe unajua kidogo,uDaktari,mambo ya Fedha yaani ni profession ambayo inahitaji mtu ambaye anapenda kusoma ukiachia mambo ya darasani.Kuna ka mchezo kameanza kujitokeza kwa vijana wanaomaliza F6 kuona kwamba sheria ni kozi ya ambayo wanaeza patia heshima.Yaani kama unavojua chuoni watu wanavowadharau wanaofanya kozi kama education kwa hiyo kuna wengine wanona bora kusoma sheria ilimradi wasidharaulike.Matokeo yake unakuta mtu anafanya sheria bila kua na malengo.Hawa ndo wanamaliza na kuja mtaani kupiga kelele kwamba sheria hailipi.Wakati kila sehemu wanasheria wanahitajika
 
Bado hatujafikia huko kuangalia mbivu na mbichi. Kila mtu anasomea anachoweza kulingana na matokeo yake pia na matakwa yake
 
Hilo ni wazo lako mwenyewe usikute wew ndio unazalau wenzio , katika watu wanaosoma sana sheria nao wanasoma.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom