Uzi wa kuweka update yoyote kutoka NBAA, (Updates from NBAA Seminars)

CPA Maneno katika semina inayoendelea Mbeya amedokeza kuwa hivi karibuni Bodi itatoa tamko au waraka utakao onyesha itumie nini kwenye kuandaa taarifa zao za hesabu mf IFRS, IPSAS au vinginevo
 
Kuanzia tarehe 15/10/2018 NBAA wanaanza kutumia mfumo mpya wa malipo wa GePG kwa huduma zote zinazotolewa na Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi kama vile malipo ya mitihani , ada za uanachama , semina na huduma nyinginezo
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Back
Top Bottom