Madereva wa serikali

Madereva wa serikali

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari Jf.Madereva wanao endesha magari ya serikali kama wanao waendesha wa kuu wamikoa wa kuu wawilaya makatibu tawala(rasi)na wa kurugenzi wa taasisi mbalimbali,naomba kujua na takiwa nifanye vituu gani ili niweze fika apo.
 
Mkuu ukiajiriwa kama dereva fanya kazi kama dereva wa jumla hakuna wa ajira ya kumhudima kiongozi itategemeana tabia,sifa na mtazamo wa boss otherwise watu watakushauri hata uwende kwa waganga!
Ushauri kama mtu wa kujishughulisha na mambo binafsi ya kukuingizia kipato nakushauri bora uwe dereva wa pool au kuwaendesha wafanyakaz otherwise ukubari kufanya kazi 24hrs kwa watu uliowataja
 
Habari Jf.Madereva wanao endesha magari ya serikali kama wanao waendesha wa kuu wamikoa wa kuu wawilaya makatibu tawala(rasi)na wa kurugenzi wa taasisi mbalimbali,naomba kujua na takiwa nifanye vituu gani ili niweze fika apo.
Nakuonea hurumaaa
Hao madereva huwaendesha hao uliowataja
Hata
Chooni
Kwa mademu usiku saa tisa kiawara kikinwiita,
Mpaka kukojoa walah amka jiajiri utadhalilika
 
Back
Top Bottom