samahani naomba kuuliza huko kwenye ALIS inahitajika surnameIngia ALIS kama wameshaweka kila kitu utakuta huko...
Tkwa heruf kubwasamahani naomba kuuliza huko kwenye ALIS inahitajika surname
sasa kwa mtu anayetumia majina mawili tu yeye anajaza nini
maana kuna dogo amejaza la baba ake imegoma kufunguka na anayo mawili tu.
sijakuelewa mkuuTkwa heruf kubwa