Msaada: Jinsi ya kutengeneza Application ya Android katika simu

Msaada: Jinsi ya kutengeneza Application ya Android katika simu

Mr Sanguine

Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
77
Reaction score
44
Humu najua kabisa kuna watu mnavichwa vikubwa vya kufikiri — Great Thinkers — na kwa hiyo natumaini nitafaidika na michango yenu kuhusiana na Elimu hii mpya.

Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Android Application — STEP BY STEP — process nzima.

Elimu Haina mwisho. Saidieni.
 
je una knowledge yoyote ya programming?
 
Humu najua kabisa kuna watu mnavichwa vikubwa vya kufikiri — Great Thinkers — na kwa hiyo natumaini nitafaidika na michango yenu kuhusiana na Elimu hii mpya.

Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Android Application — STEP BY STEP — process nzima.

Elimu Haina mwisho. Saidieni.
1. Chagua computer language kama java uanze kujifunza.
2. Ukiona una misingi na uelewa wa java basi anza kujifunza android development.
3. Google na youtube ina kila kitu unachohitaji.

NB: Si kazi rahisi kama unavyoweza zani, ila ukiwa na nia utatoboa.
 
Back
Top Bottom