Grevic Jos
Member
- Aug 29, 2013
- 57
- 2
wadau....hivi hawa Tcu watatoa lini ilo official announcement na zaidi sana selection za 3rd round?
Au ndo kusema
Wametuchinjia baharini..
Au hizi presha ndio machozi ya samaki...
Mwenye clue ama taarifa yeyote wadau.
Mana kama tcu bado till now je kuna mategemeo ya mkopo kweli?
Au ndo kusema
Wametuchinjia baharini..
Au hizi presha ndio machozi ya samaki...
Mwenye clue ama taarifa yeyote wadau.
Mana kama tcu bado till now je kuna mategemeo ya mkopo kweli?