*Naomba msaada wa jinsi ya kupata hostel chuo cha T.I. A

*Naomba msaada wa jinsi ya kupata hostel chuo cha T.I. A

Jesse J

Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
91
Reaction score
40
Habar zenu wana Jf!! Nilkua naomba kma kuna yoyote anayejua jinsi ya kupata hostel za ndan mapema katika chuo cha T. I. A ambacho kipo dar!! Maana nasikia hua zinajaa mapema sana!! Mayb namba ya simu ya muhusika au ktu kingne chchte kile!!
 
Nenda hapo T.I.A ukakutane na Din of student atakusaidia...nenda Administration block flow ya chini chumba no 208.
 
Back
Top Bottom