Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari!! Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo, juu ..Board ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu ni siku ya sita leo tangu kutangazwa kwa wanufaika wa mikopo kwa awamu ya kwanza, bado hakuna...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mafunzo ya addo mbona hayaeleweki jamani maana Tabora na MBEYA toka mwakajana wamesoma mpaka Leo Hakuna kinacho endelea watu hawajapata hata vyeti kulikoni labda kuna mtu anaelewa zaidi atusaidie...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Nimasomo gani yanafundishwa kwenye vyuo vya clinical medicine?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na...
17 Reactions
109 Replies
15K Views
Natumai wazima .leo nimekumbuka shule nilio soma o level kifanya sec school mkoani NJOMBE kama kuna member waliosoma pale kuanzia miaka 2000s tukumbushane hapa watu kama.Moses mfalanyombo,hospid...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
DIRISHA JINGINE UDSM: CHUO kikuu cha Dar as Salaam kitafungua dirisha jingine la maombi udahili kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Elimu ya juu mwaka huu. Akizungumza katika kipindi cha...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
.......Usisahau KUMPATIA 'Study Materials' zinazoeleweka kutoka kwa: muuzamaterials@gmail.com Sisi tumeamua kuunga juhudi za kuinua elimu kwa njia hii. Njia ya kuandaa vitabu maalum kwa mtindo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani naomba kuuliza kwamba kuna uwezekano mwanafunzi akahama toka chuo kimoja kwenda kingine? kam uwezekano upo je n process gan zinabid zifatwe? Msaada tafadhari
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa yeyote anaejua utaratibu kwa sasa najua mda umeshapita kwaiyo kama nimechelewa naweza kupitia njia zipi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
leo majina yametoka kwa walioapply second round. Third round imeanza lep tarehe 24 hadi 26. Angalie ujue una confirm au ni third round.
0 Reactions
138 Replies
18K Views
Wandugu habari, naona vijana wengi wanauliza sifa za kujiunga na kozi za afya, mimi nitajikita kwenye ngazi ya cheti na sitashahada. Ili uweze kusoma kozi yoyote ya afya ngazi ya cheti lazima uwe...
1 Reactions
15 Replies
21K Views
Wakuu, NECTA wametangaza matokeo tayari. Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums) Soma Pia Matokeo ya...
40 Reactions
349 Replies
304K Views
kumekuwepo ns uvumi kuwa kuna website ya watu wanaohitaji kwenda kufundisha somo LA kiswahili nchini afrika kusini, je kuna ukweli kuhusu uvumi huo... kama website IPO tunaomba iwekwe tujiusajiri...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Habari bandungu ,..ningependa kujua ukweli kuhusu hili swala linalotapakaa katika magroup mbalimbali ya vyuo,, kuwa kutakuwa na ongezeko la hadi asilimia 60 ya pesa ya matumizi kwa wanachuo yaani...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
kwa mkoa wa Dar es salaam ni wapi naweza pata sehemu wanapo toa mafunzo ya umeme wa magari?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wapendwa poleni na majukumu naenda direct kwenye mada batch ya kwanza ya heslb imetoka Mungu si trump nami jina langu nikaliona sasa ndo Niko nasubilia ni asilimia ngapi ili sisi walala...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa, Ndugu yangu amehitimu kidato cha sita 2018 mchepuo wa 'PCB' akafaulu kwa C kila somo. Ndoto yake ni kusoma Doctor of Medicine (MD) na hivyo aliomba kozi hiyo kwenye vyuo...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
mwecau majina hayoooooo https://www.jamiiforums.com/attachments/applicant-selected-to-join-undergraduates-programmes-pdf.413960/
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari!! Niende moja kwa moja kwenye kiini cha mada ambayo inakuja kwa mtindo wa swali,He huchukua mda gani toka kutangazwa kwa majina hadi kujua allocation yako ya mkopo maana siku zinaenda na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Samahani naomba kuuliza kwa anaefahamu. mimi ni muuguzi (ngazi ya diploma) niliomba kujiunga na ngazi ya degree mwaka huu na nimefanikiwa kuchaguliwa kozi ya human nutrition(sua) swali langu ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom