walimu wa kuswahili

walimu wa kuswahili

indundidotcom

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
235
Reaction score
231
kumekuwepo ns uvumi kuwa kuna website ya watu wanaohitaji kwenda kufundisha somo LA kiswahili nchini afrika kusini, je kuna ukweli kuhusu uvumi huo... kama website IPO tunaomba iwekwe tujiusajiri wandugu
 
Walimu wa "kuswahili" ndiyo wepi hao?
Kuswahili ni lugha au somo?.
Ila kuhusu kiswahili muulizie Mh mwakyembe kuhusu tovuti ya walimu mahiri wa kufundisha kiswahili. Jiandae kulipa ada ya Tshs 10,000/= kwa mwaka.
=============≠============
Kuhusu Kuswahili wasubiri watalamu waje.
 
Back
Top Bottom