bhuzuri wa bhuzuri
Member
- Sep 13, 2018
- 8
- 2
Mafunzo ya addo mbona hayaeleweki jamani maana Tabora na MBEYA toka mwakajana wamesoma mpaka Leo Hakuna kinacho endelea watu hawajapata hata vyeti kulikoni labda kuna mtu anaelewa zaidi atusaidie maana na mdogo wangu kasomea Hiyo kozi tabora kahaha kweli.