Samahani naomba kuuliza kwa anaefahamu.
mimi ni muuguzi (ngazi ya diploma) niliomba kujiunga na ngazi ya degree mwaka huu na nimefanikiwa kuchaguliwa kozi ya human nutrition(sua)
swali langu ni kama ifuatavyo
1.je nikimaliza io kozi wakati wa ku renew leseni tnmc nitapewa leseni ya aina gani?..nutritional nurse officer au nutritional officer?
2.salary scale yangu itapanda kama nesi mwenye degree,au itaendelea kua ileile ya diploma,au nitalipwa kama nutritional officer ambaye ambaye mshahara wake ni mdogo kuliko nurse mwenye diploma (tgsd)