LOAN ALLOCATION STATUS.

LOAN ALLOCATION STATUS.

Rashidi7

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
612
Reaction score
212
Habari!! Niende moja kwa moja kwenye kiini cha mada ambayo inakuja kwa mtindo wa swali,He huchukua mda gani toka kutangazwa kwa majina hadi kujua allocation yako ya mkopo maana siku zinaenda na hakuna jipya kwenye accounts.
 
Back
Top Bottom