Nataka nianze na certificate then diplomaHujasema unataka kusoma hiyo procurement katika level gani! Certificate, Diploma au Bachelor?
Nataka nianze na certificate then diploma
OK enc uNenda chuo husika watafanya mpango usajiliwe nacte
We cattoon OK enc u ndio nini???OK enc u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wanarahisisha kila ktu!! Kwa uandikaji huu, si ajabu hata alivosena anataka kusoma certificate.We cattoon OK enc u ndio nini???