Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kipindi unafanya mtihani ukiona mwalimu anayekusimamia yupo nyuma yako na anatoa kauli za someni swali vizuri ujue unachojibu sio sahii. Ukiona anakuambia muda hautoshi malizia malizia swali ujue...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Za wakati huu wakuu, Nina mdogo wangu, kwenye majina ya wanufaika wa mikopo 2018/2019,Iliyotolewa na Bodi, HESLB, Jina lipo, Ajabu leo kwenye Majina yaliyotumwa chuoni kwake, SUA, Jina halipo.Hii...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu tabora boys ni shule ya vipaji maalum inayopotea na zisipofanyika juhudi zozote zile za makusudi baada ya miaka mitano hii shuke itapotea katika chati na i think kisimiri ni...
1 Reactions
80 Replies
15K Views
Kwa wale wanaopenda kusoma tunawajulisha kuwa mwalimu wa kufundisha kozi mbalimbali za IS Audit, security, risk assessment and risk management, conrols,governance, Value for money Audit...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ninapenda nisome master's ya Automation and industrial control lakini kwa vyuo vya hapa nyumbani hii kozi haipo. Sasa nimeamua nisome kozi mojawapo kati ya hizo kozi tatu nilizozihorodhesha hapo...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza ya majina ya wanafunzi 25,532 waliopewa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/19. Mkopo huo una thamani ya TZS Bilioni 88.36...
1 Reactions
50 Replies
21K Views
Brilliant Secondary School hii ipo DSM, hapa panahitajika Study Materials za nguvu. Naombeni physical location wakuu! Email: muuzamaterials@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya kile kilio cha wanahitimu wengi wa PCB kuachwa katika maombi ya chuo... tena wengine wakiwa na ufaulu mzuri kuanzia Div 1 ya point 8,9,.. Div 2 ya point 10,11 na kuendelea sasa kimepata...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimechaguliwa udsm architecture ,PCB,CCB ,naweza kuomba tena MD hapohapo udsm au nikabadilishe nikifika pale chuoni? Msaada plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombaa kuulizaa jaman ,,majina ya watahiniwa walio’omba vyuo vikuu bado hayajatoka mpk xx!!? Na kama kuna hata chuo kimoja kilichotoa bac naombeni link,ahsanteni[emoji1317]
0 Reactions
235 Replies
51K Views
Wana jf msaada tafadhsli, Nina ndugu angu anayo degree ya geology ila ambition yake ni kuwa mwalimu , akiweza soma postgraduate ya education anaweza ajiliwa na serikali yetu kama mtu mwingine...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hallo wana-Jf, Nina mdogo wangu amefauli kidato cha Nne na kupangiwa Mchepuo Arts(HGK). Yeye binafsi anataka asomee Mchepuo wa Sayansi(PCB) kwani hata hiyo Combi amepasua Pia. Ninaomba...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
msaada wa vyuo vinavyotoa course ya computer science kwa diploma.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kichwa cha thread chahusika Kwa mwenye mawasiliano kwa mtu/mwalimu yeyote pale KCMC kwani nimetafuta katika website yao nimepata barua pepe na nilipotuma ujumbe majibu hayajanisaidia. Shida yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibuni sana SAUT Mwanza chuo bora kabisa kwa utoaji wa Elimu, confirm SAUT ili upate shule ya maana, hostel za kisasa room za maana masuala ya exile labda utake wewe mazingira mazuri. Ila kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wana-Jukwaa! Naomba msaada wenu mtueleweshe kuhusu Direct Cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapofika vyuoni? Maana vyuo vingine Direct Cost wameandika Tsh...
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Wakuu Habari!! Naomba kujua nimepoteza Chet Cha form four je nikienda necta watanipa kingine au Kuna utaratibu gani huwa unafanyika Shukurani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu... kwanza hongeleni kwa vijana wa kidato cha sita waliofaulu.. pia poleni kwa wale tulioshindwa kufanya vema kwenye matokeo lakini kumbuka kufeli mtihani siyo kufeli maisha...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Back
Top Bottom